JAVIO MADISH PANEL
Thursday, October 30, 2014
JAVIO MADISH WORKING HOURS
Kuhusiana na muda wa kazi wacha niwaweke aware watu wangu wa nguvu. Javiomadish tupo wazi kuanzia milango ya saa 7:30 asubuhi mpaka saa 9:00 usiku... Hivyo tumetoa nafasi hadi kwa wale wateja wetu wanaokua makazini na wanachelewa kurudi majumbani....... Mmmmh tatujawasahau na ninyi ni wa muhimu sana, hivyo usisite kututafuta muda wowote kwa ajili ya huduma. Na kuhusu msaada wa kiufundi tupo wazi kukusikiliza masaa 24. Usijali tupo kwa ajili yako unaweza uliza suala lolote tutakujibu muda wowote piga namba zilizopo hapo juu. Ahsante na karibu sana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment