Hebu tizama vyema picha hii, ukichunguza kwa makini utaona katika kin'gamuzi hiki hapo mbele kuna taa mbili ndugu mteja, taa hizi ama (indicator) kitaalamu ni za rangi ya njano na ingine ni ya kijani taa ya njano inamaanisha (power) maana yake kin'gamuzi kimewaka na hii kwa kawaida huwa inawaka muda wote pindi utakapo washa kin'gamuzi chako, hii kimsingi haina shida. Sasa leo nataka kuongelea taa (indicator) ya kijani hii kimsingi huusika na suala zima la signal au mawimbi, hii pia huwaka pindi singnal au mawimbi yanapokua sawa. sasa ushawahi kujiuliza mbona kin'gamuzi chako kina scratch au hakileti picha kabisa kinaonesha ujumbe wa NO SIGNAL???????????.
Jibu ni kwa ndio hapo hakuna mawasiliano kati ya dishi na kin'gamuzi chako na ukiona vitu hivyo basi bila shaka taa ya kijani huwa haitulii hii inakua inacheza cheza kitaalamu tunasema SIGNAL IS LOST.
Ndugu mteja basi ukiona dalili hizo usisite kunitafuta kupitia namba zangu za simu ama e-mail address zangu nami ntakufikia mara moja kwa marekebisho, ghalama zangu ni chache na utapewa guarantee ya ufundi kwa miezi mitatu tatizo lolote basi ni juu yetu.
For enquiry call
+255 714 422729, +255 684 603135.
lhumbahjavio@gmail.
comjaviofelix@yahoo.com?
JAVIO MADISH TUPO KARIBU YAKO!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment