JAVIO MADISH PANEL

Tuesday, October 21, 2014

CONTINENTAL SATELLITE DISH

Wakati tunaenda kumaliza au kutokomeza kabisa mfuma wa Transmitter (antenna) kwa lugha rahisi Sahara media group imejipanga kuwaletea mliokua mkisubiri kin'gamuzi cha continental cha dish na sasa kitapatikana kwa Bei ya Tsh. 105,000/= piga 0714 422729, 0684 603135 kwa maelezo zaidi.

No comments:

Post a Comment