Kuelekea sikukuu hizi za mwisho wa mwaka javiomadish na crew nzima ya madish signal quality tunarudisha kwako mteja shukrani ya kua pamoja nasi kwa muda wote wa mwaka mzima kwani umekua mchango mkubwa kwa kuwa mdau wetu kwa namna yote uliyoshiriki nasi.
Basi Kurugenzi kuu ya javiomadish inafurahi kukupa punguzo la bei kwa bidhaa zetu zote tunazohusika nazo kwa asilimia tano (5), hivyo kukupa nafasi ndugu mdau kujipatia au kumiliki dish au bidhaa yetu yoyote kwa punguzo hilo.
Ofa hii itadumu mpaka January mosi 2015 karibu tusherehekee kwapamoja christmas na mwaka mpya.
No comments:
Post a Comment