JAVIO MADISH PANEL
Thursday, October 30, 2014
JAVIO MADISH WORKING HOURS
Kuhusiana na muda wa kazi wacha niwaweke aware watu wangu wa nguvu. Javiomadish tupo wazi kuanzia milango ya saa 7:30 asubuhi mpaka saa 9:00 usiku... Hivyo tumetoa nafasi hadi kwa wale wateja wetu wanaokua makazini na wanachelewa kurudi majumbani....... Mmmmh tatujawasahau na ninyi ni wa muhimu sana, hivyo usisite kututafuta muda wowote kwa ajili ya huduma. Na kuhusu msaada wa kiufundi tupo wazi kukusikiliza masaa 24. Usijali tupo kwa ajili yako unaweza uliza suala lolote tutakujibu muda wowote piga namba zilizopo hapo juu. Ahsante na karibu sana.
Tuesday, October 28, 2014
FROM JAVIO TO YOU DEAR CUSTOMER
Unaposikia fundi dishi je unaelewa nini? Hapa kidogo tumeshindwa kuelewa nani ni fundi dish na nani ni fundi wa kitufulani. Kuwa makini kila unaponunua dish lako, unaweza kukutana na wajuaji wataokuambia mbona rahisi tu kufunga, usidanganyike dish ni satellite na lazima lifengwe na mtu aliyepitia taaluma ya satellite installation. Tumepata malalamiko mengi kutoka kwa wateja lakini yanakosa tija sababu ya wateja kupenda urahisi wa mambo (bei) mpaka dish linapoteza uelekeo (signal) hapo ndio mtu anakumbuka kumwita fundi aliebobea kwenye taaluma hii. Natoa rai kwako ndugu mteja tambua hili kabla ya matatizo ya kulipa mafundi matapeli na kukufanyia kazi mbovu. Lipa pesa nzuri upate kufanyiwa kazi nzuri itakayo dumu
Tuesday, October 21, 2014
CONTINENTAL SATELLITE DISH
Wakati tunaenda kumaliza au kutokomeza kabisa mfuma wa Transmitter (antenna) kwa lugha rahisi Sahara media group imejipanga kuwaletea mliokua mkisubiri kin'gamuzi cha continental cha dish na sasa kitapatikana kwa Bei ya Tsh. 105,000/= piga 0714 422729, 0684 603135 kwa maelezo zaidi.
Sunday, October 19, 2014
Wednesday, October 15, 2014
HEAVYWEIGHT BIG BOY 12 FEET
Hakuna kinachoshindikana na hii ndio professional yetu, kwetu ni burudani kukutana na big boy hama huyu it was awesome.
Tuesday, October 14, 2014
DSTV, KIMPANGO WETU!!!!
99, 0000 TU FULL SET
PLUS INSTALLATION Call 0714 422729, 0684 603135. E mail:lhumbahjavio@gmail.com. PRESS ORDER NOW.
PLUS INSTALLATION Call 0714 422729, 0684 603135. E mail:lhumbahjavio@gmail.com. PRESS ORDER NOW.
Sunday, October 12, 2014
ZAIDI YA OFA........
Sikia hiiDstv special offer, full set pamoja na ufundi kwa 99, 000 tu bila kifurushi. Usiikose ni kwa muda mfupi tu. Changamka call: 0714 422729, 0684 603135 tukuletee mpaka mlangoni pako.
Saturday, October 11, 2014
HOTEL TELEVISION INSTALLATION
Moja kati ya jukumu letu kubwa javiomadish ni kuhakikisha unaburudika kokote kule utakapokua kwa vipindi wa televisheni upendavyo, nachukua nafasi hii kuwakaribisha wenye mahotel, motel, lodge na guest house kwa ajili ya huduma ya hotel televison installation. Tumeanza kuchukua oda ya kazi mbalimbali, karibu na wewe uwe mmoja wa watakao hudumiwa vyema.
Thursday, October 9, 2014
AZAM TV BURUDANI KWA WOTE
Ni Azam tv yenye channel 58 Movies, music, documentary, kids channels na kadhalika kwa Tsh 177, 500/= full set + Installation + monthly packpackage. Piga +255714 422729-+255684 603135 vile vile si mpaka uje, unaweza kupiga simu tukakuletea mpaka kwako. Azam tv burudani kwa wote...
EMANUEL TELEVISION Tb Joshua
Je ndugu yangu mkristo umewahi kufikiria kupata mafundisho, mahubiri pamoja na nyimbo za injili? Basi jibu lipo EMMANUEL sat hapa utapata channel zaidi ya 80 kupitia dish ndogo ya ku band kwa bei nafuu 150,000/= cha muhimu tuwasiliane kupitia namba 0714-422729, 0684-603135 karibu nikusikilize
THE LEGEND
Kushoto ni Mustaphamadish The magician, teacher, technical director, nitakua mchoyo wa fadhila kama sitatoa shukran kwake, amekua baraka kwa wengi kwenye taaluma hii ya Satellite installation na sasa ni mafundi wazuri tu sababu ya juhudi zake binafsi. Be blessed bro! The Legend.......
Tuesday, October 7, 2014
KAMILI 100%......
Tupo kamili gado kukufikia na kufanya kazi yako kwa usafi na kwa kiwango cha juu, mafundi waliofuzu katika taaluma ya Satellite installation watakuhudumia ipasavyo.piga 0714-422729, 0684-603135 e.mail:lhumbahjavio@gmail.com
FUATANA NAMI
Vin'gamuzi vinavyofanya vyema Tanzania...... Fuatana nami kujua bei pamoja na mengi kuhusu kila kimoja wapo....
Monday, October 6, 2014
BIASHARA NA TAALUMA YA MADISH SASA MTANDAONI
Javiomadish blog ya pili ya madishi Tanzania, peruzi ili upate kujua, kuelewa na kutambua kin'gamuzi gani ni bora na kitakufaa kwa matumizi nafuu. Piga 0714-422729, 0684-603135
Subscribe to:
Posts (Atom)