JAVIO MADISH PANEL

Thursday, October 9, 2014

THE LEGEND

Kushoto ni Mustaphamadish The magician, teacher, technical director, nitakua mchoyo wa fadhila kama sitatoa shukran kwake, amekua baraka kwa wengi kwenye taaluma hii ya Satellite installation na sasa ni mafundi wazuri tu sababu ya juhudi zake binafsi. Be blessed bro! The Legend.......

No comments:

Post a Comment