JAVIO MADISH PANEL
Thursday, November 6, 2014
FANTASTIC DUOS.......KILIMA HEWA-TEGETA
Javio nafurahia sana kufanya kazi na huyu jamaa Mustaphamadish kiukweli ni raha sana pale ambapo mteja anaporidhika na kazi, kwakawaida kufunga dishi ni ghalama kiasi chake hivyo basi mteja anapenda au anategemea kazi nzuri na safi tena itayofanana na kiasi cha pesa alicholipa na hili sisi ndilo tunapenda ili kupata credit na kuongeza wateja Naomba nizungumze nawe ndugu mteja. Tafadhali kamwe usiache kufuatilia blog hii kwan licha ya masuala ya kibiashara lakini pia itakuelimisha sababu madish yamekua ni sehemu ya maisha yetu.Karibu......
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment