Katika harakati za kusambaza burudani JAVIO MADISH ikajikuta Zanzibar Serena Hotel ilikuwa poa sana.
Saa ilifika kuliaga jiji la Dar Es Salaam
Manzari safi na upepo hii ndio ZNZ bana
Javio arriving ferry Zanzibar
Kuna muda unaweza kuona kama ni rahisi lakini ilikuwa safari ngumu sana mpaka kufika mafanikio haya, kuna milima na mabonde, kuonewa, kukata tamaa ila kwa nguvu za Mungu na uvumilivu basi tunakula mema ya nchi.
Control room
Javio kwa control room
Waiting room .........
Survey ya full repair Serena ili ishia hapo.... Baada ya hapo ni Safari ya kurudi kweeeetu. Home sweet home bana!!!!!!!.
Zanzibar air port
On board.....................
Oblique
Hatimae nilifika salama.
Nakuhakikishia javio madish atakufikia popote ulipo, usiwaze suala la umbali tupo kwa ajili yako, na bado tunapoke order za Hotel installation.
TO BE CONTINUED!!!!!