Leo nataka nizungumzie juu ya sintofahamu ya mpambano unaoendelea kati ya vigogo wawili katika tasnia hii ya Satellite TV entertainments, hapa nazungumzia the giant DSTV vs AZAM TV best up coming. Bado mpaka sasa hata wenzangu mtakua katika kuumiza kichwa nani ni zaidi, nani mbabe, na nani nafuu kulingana na maisha ya mtanzania wa kawaida.
Hapa sasa nitakusaodi kwa kukuonesha features za kila moja basi nawe utajua la kufanya wakati wa kufanya maamuzi juu ya manunuzi.
DSTV
:- Bei ya manunuzi ni 99,000/= full installation bila kifirushi.
:- Hii ina packages zipatazo tano (5) za malipo ya mwezi kulingana na nini unataka... Bomba 17,000/=, Family 34,000/=, Access 56,000/= Compact 92,000/= na Premium 142,000/=
:- Kingamuzi chake ni HD Mpge4, Usb port, HDMI port + HDMI cable included na AV cable.
AZAM TV
:- Bei yake ni 177,500/= full installation ( mpaka kuona)
:- Haina packages hii malipo yake ya mwezi ni 12500/=
:- ina channel 60 na Radio fm 5
:- Kin`gamuzi chake ni HD Mpge4, Usb port, HDMI port na AV cable.
Kazi ni kwako ndugu mteja ndani ume pata mwanga juu ya vi`ngamuzi hivi pendwa Tanzania, ni matumaini yangu umejielewa sasa nini cha kufanya juu ya haya.
Sisi JAVIO MADISH tunauza pamoja na kufunga bila kusahau tunafanya maintenance ya madish ya aina zote.
piga: 0714 422729, 0684 603135
KARIBU SANA