JAVIO MADISH PANEL

Monday, December 8, 2014

NI OFA YA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA.........

Kuelekea sikukuu hizi za mwisho wa mwaka javiomadish na crew nzima ya madish signal quality tunarudisha kwako mteja shukrani ya kua pamoja nasi kwa muda wote wa mwaka mzima kwani umekua mchango mkubwa kwa kuwa mdau wetu kwa namna yote uliyoshiriki nasi.


Basi Kurugenzi kuu ya javiomadish inafurahi kukupa punguzo la bei kwa bidhaa zetu  zote tunazohusika nazo kwa asilimia tano (5), hivyo kukupa nafasi ndugu mdau kujipatia au kumiliki dish au bidhaa yetu yoyote kwa punguzo hilo.


Ofa hii itadumu mpaka January mosi 2015 karibu tusherehekee kwapamoja christmas na mwaka mpya.


Wednesday, December 3, 2014

ITV KWENYE DSTV??????


Ndiooooo usishangae DSTV ikishirikiana na Ipp media wamezamilia kukata kiu yako mpenzi wa dstv kwa kukuwekea channel pendwa ya ITV ikikamilisha channel za hapa kwetu nne ikiwemo TBC,CHANNEL 10 na STAR TV hivyo basi Itv itapatikana namba 293 katika channel list yako, je unangoja nini kujipatia ya kwako ikiwa na ofaa ya Tsh 99000 tu mpaka ufundi.

 Hilo ni dogo kati yote kwani kwa kukudhamini na kukupenda ndugu mteja sasa tumekuletea HD DECORDER kwa bei ileile ya Tsh 99000 tu hii utaweza kuona picha n'gaavu kulika ile ya mwanzo.

USIPITWE NA HILI........ Piga namba zangu na huduma hii itakufikia mpaka nyumbani pako.