JAVIO MADISH PANEL

Saturday, March 21, 2015

JAVIO MADISH SURVEY KWA SERENA HOTEL ZANZIBAR

Katika harakati za kusambaza burudani JAVIO MADISH  ikajikuta Zanzibar Serena Hotel ilikuwa poa sana.


 Saa ilifika kuliaga jiji la Dar Es Salaam


 Manzari safi na upepo hii ndio ZNZ bana

Javio arriving ferry Zanzibar


Kuna muda unaweza kuona kama ni rahisi lakini ilikuwa safari ngumu sana mpaka kufika mafanikio  haya, kuna milima na mabonde, kuonewa, kukata tamaa ila kwa nguvu za Mungu na uvumilivu basi tunakula mema ya nchi.


 Control room


 Javio kwa control room





Waiting room .........

Survey ya full repair Serena ili ishia hapo.... Baada ya hapo ni Safari ya kurudi kweeeetu. Home sweet home bana!!!!!!!.


 Zanzibar air port




On board.....................


Oblique





Hatimae nilifika salama.

Nakuhakikishia javio madish atakufikia popote ulipo, usiwaze suala la umbali tupo kwa ajili yako, na bado tunapoke order za Hotel installation.

TO BE CONTINUED!!!!!

Friday, January 30, 2015

MADISH JAVIO NDANI YA CHANIKA.........

Javio madish leo tumetia nanga  Chanika  na kupiga DOUBLE IMPACT Dstv na Azam. Na  kinachofanya tuwe na furaha zaidi leo tupo na kijana mpya na kazi imeisha salama.

 

 Fundi mkuu Javio Madish Bw. Flavian.



Site husika Chanika.


Kijana mpya Technician Mr. Rashid Mkenya.



Kazi yetu imeishia hapa kwa leo..

Piga 0714-422729, 0684-603135

NICE AND LOVELY

DSTV VS AZAM TV IN BATTLE (KATIKA MAPAMBANO)

Leo nataka nizungumzie juu ya sintofahamu ya mpambano unaoendelea kati ya vigogo wawili katika tasnia hii ya Satellite TV entertainments, hapa nazungumzia the giant DSTV vs AZAM TV best up coming. Bado mpaka sasa hata wenzangu mtakua katika kuumiza kichwa nani ni zaidi, nani mbabe, na nani nafuu kulingana  na maisha ya mtanzania wa kawaida.

Hapa sasa nitakusaodi kwa kukuonesha features za kila moja basi nawe utajua la kufanya wakati wa kufanya maamuzi juu ya manunuzi.

                                                                         DSTV

                                                                     

:- Bei ya manunuzi ni 99,000/= full installation bila kifirushi.

:- Hii ina packages zipatazo  tano (5) za malipo ya mwezi kulingana na nini unataka... Bomba 17,000/=, Family 34,000/=,    Access 56,000/=  Compact  92,000/= na Premium 142,000/=

:- Kingamuzi chake ni HD Mpge4, Usb port, HDMI port + HDMI cable included na AV cable.


                                                                            AZAM TV

                                                                                    


:- Bei yake ni 177,500/= full installation ( mpaka kuona)

:- Haina packages hii malipo yake ya mwezi ni 12500/=

:- ina channel 60 na Radio fm 5

:- Kin`gamuzi chake ni HD Mpge4, Usb port, HDMI port na AV cable.


Kazi ni kwako ndugu mteja ndani ume pata mwanga juu ya vi`ngamuzi  hivi pendwa Tanzania, ni matumaini yangu umejielewa sasa nini cha kufanya juu ya haya.
Sisi JAVIO MADISH tunauza pamoja na kufunga bila kusahau tunafanya maintenance  ya madish ya aina zote.

piga: 0714 422729, 0684 603135

KARIBU SANA

Thursday, January 29, 2015

NAMPATAJE JAVIO.............????????

Hili ndio swali unaweza kupata nalo changamoto mdau wangu wa nguvu, usijali sababu nipo wa ajili yako.

Javio madish utatupata kwa namba za simu pamoja na mitandao mbalimbali ya kijamii kama inavyojieleza hapo chini.


MOBILE (HOT NUMBER)

                                                    
                                                         +255714 422729, +255684 603135.

                                                                WHATS APP!!!!!

                                                                           
+255714 422729.

WEB / BLOG


WWW.JAVIOMADISH.BLOGSPOT.COM

FACEBOOK PAGE


 JAV-SATELLITE DISH/FACEBOOK.

Ahsante kwa kutazama na karibu tena!!!!!!!


DSTV PALE KIGOGO NI NOUMA........

Moja kati ya kazi zilizofanywa na JAVIO MADISH kwa ufanisi mkubwa pale kigogo. Ni furaha mno kwetu kuona wateja wetu wanapata huduma bila malalamiko na hii ndio dhamana tuliyobeba sisi kama wasambazaji wa burudani.








MADISH CLASSIC......



Wednesday, January 21, 2015

AZAM TV KIMARA.....BURUDANI KWA WOTE.

Javio madish leo tukaendelea na series ya kusambaza burudani maeneo ya kimara suka, na hii ni kila step taken......... enjoy


Hii ni clamp au Base


Stendi ya azam 
inakamilika kwa ajili ya kuweka dish





Dish Iinapachikwa tayari kutafta signal



Natumaini umepata mwanga juu ya namna dish Iinapaswa kukaa

THANKS FOR YOUR TIME

Tuesday, January 20, 2015